Wananchi waitwa kutoa maoni Dira ya Maendeleo 2050
Dar es Salaam. Tume ya Mipango, imewaita wananchi kushiriki kutoa maoni ikiwamo kutuma ujumbe mfupi kuhusu dira ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050. Dira ya Taifa ya maendeleo ni picha au maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi katika siku za usoni. Wito huo umetolewa leo Jumanne Juni 4, 2024 Katibu Mtendaji wa…