Waziri Junior mguu mmoja Ihefu

Kama mambo yakienda  sawa, mshambuliaji aliyemaliza mkataba wake KMC, Waziri Junior anaweza akasaini Ihefu muda wowote, baada ya kurejea kutoka katika majukumu ya Taifa Stars. Mmoja wa kiongozi wa Ihefu, alisema kila kitu kuhusu Junior kinakwenda vizuri, walikuwa wanamsubiri arejee kutoka katika majukumu ya Taifa Stars, ambayo ilikwenda nchini Indonesia. “Kabla ya kuitwa timu ya…

Read More

TANZANIA, INDONESIA KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII

      Na Happiness Shayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Indonesia zinajipanga kushirikiana katika masuala ya utangazaji utalii, kubadilishana uzoefu katika masuala ya utalii na ukarimu, tafiti za utalii na kupanua wigo wa mazao ya utalii lengo ikiwa ni kukuza utalii wa nchi zote mbili. Hayo yamejiri katika kikao…

Read More

Sintofahamu mkataba wa Matampi Coastal

KIPA mye ‘clean sheet’ nyingi Ligi Kuu Tanzania Bara, Ley Matampi amezua utata juu ya mkataba wake na waajiri wake Coastal Union baada ya pande hizo mbili kutofautiana juu ya urefu wa mkataba huo. Ipo hivi; Coastal Union, imechimba mkwara kwamba kama kuna klabu inamtaka kipa wao huyo basi waifuate mezani ili wajadiliane kuwauzia kwani…

Read More

Wadau waitaka Serikali iwajibike kuwalinda wenye ualbino

Dar es Salaam. Zikiwa zimepita siku sita tangu kunyakuliwa kwa mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novatus (2) na watu wasiojulikana kijijini kwao Bulamula mkoani Kagera, baadhi ya wadau wameshauri kuwe na mikakati endelevu ya kuwalinda watu wenye ulemavu huo. Asimwe alinyakuliwa kwenye mikono ya mama yake Mei 30, 2024 katika Kijiji cha Bulamula, Kata ya Kamachumu,…

Read More