Mjengwa: Vyuo vya maendeleo ya wananchi suluhisho la ajira

Dar es Salaam. Mwaka 1969 Rais mstaafu wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Nyerere alitembelea nchini Denmark,  na miongoni mwa mambo yaliyomvutia akiwa huko ni vyuo vya maendeleo ya wananchi. Aliporudi nchini alianzisha maandalizi ya kuwepo kwa vyuo hivyo na hatimaye mwaka 1975 vikaanza. Vyuo hivyo  ni falsafa yenye kuhusiana na watu wazima na maendeleo…

Read More

DIT YAJIPANGA VYEMA UBORESHAJI WA MITAALA MIPYA

     Makamu Mkuu wa Taasisi ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Taalamu, Utafiti na Ushauri wa Kitaalam Prof. Ezekiel Amri ameipongeza timu ya wadau walioshiriki katika warsha ya  kuboresha mitaala mipya katika fani za Uhandisi Umeme na Nishati Jadidifu katika ngazi ya Uzamili na Stashahada. Ameyasema hayo leo tarehe 4/6/2024 kwenye Warsha…

Read More

Kigaila: Msigwa aje kulalamika vikaoni

Dar es Salaam. Siku moja baada ya aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa kudai kuwa msimamizi wa uchaguzi huo, Benson Kigaila kushindwa kusimamia vema mchakato huo, mwenyewe amemjibu akimtaka awasilishe malalamiko yake katika vikao.  Kigaila aliyekuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo uliofanyika Mei 29, 2024 Makambako mkoani Njombe, amesema Chadema haiwezi…

Read More

CHAMA CHA USHIRIKA RUNALI CHAJENGA VITUO VYA MALIPO KURAHISISHA FEDHA ZA MALIPO KWA WAKULIMA

  Elizaberth Msagula,Lindi   HATIMAYE,ucheleweshaji  wa Fedha za malipo ya wakulima wanaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika Runali kinachojumuisha wakulima wa Wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea Mkoani Lindi, itabaki historia baada ya chama hicho kujenga vituo vya  malipo kwa wilaya za Ruangwa,Liwale na Nachingwea vitakavyotumika kuandaa na kuhakiki malipo ya wakulima hao kwa haraka…

Read More

NGO ya Kapuya yachunguzwa kwa ushoga

SERIKALI imeanza kuichunguza Taasisi ya Athuman Kapuya, dhidi ya tuhuma za usambazaji ushoga inazoikabili shirika hilo lisilo la kiserikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa ya uchunguzi huo imetolewa Leo tarehe 4 Juni 2024 na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, ikiwa ni siku Moja tangu Mkuu…

Read More

VIDEO: Serikali yakana kuipa bahari, madini Korea Kusini

Dar es Salaam. Serikali imefafanua juu ya mkopo wa Sh6.7 trilioni uliosainiwa kati yake na Korea Kusini, ikieleza kuwa haijatoa sehemu ya bahari wala madini ya kimkakati. Ufafanuzi huo umetolewa leo Juni 4, 2024 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuwapo kwa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya…

Read More

Serikali yakana kuipa bahari, madini Korea Kusini

Dar es Salaam. Serikali imefafanua juu ya mkopo wa Sh6.7 trilioni uliosainiwa kati yake na Korea Kusini, ikieleza kuwa haijatoa sehemu ya bahari wala madini ya kimkakati. Ufafanuzi huo umetolewa leo Juni 4, 2024 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuwapo kwa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya…

Read More