KAMATI YA BUNGE YA NUU YASISITIZA UWAJIBIKAJI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Mhe. Vita Kawawa (Mb.) akifungua kikao cha kamati yake na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kilichofanyika tarehe 3 Juni, 2024 Bungeni, jijini Dodoma. KAMATI ya Bunge ya Mambo…