Selcom yainunua Access Benki Tanzania
Dar es Salaam. Kampuni ya Selcom imeinunua iliyokuwa benki ya Access Tanzania ikiwa ni moja ya hatua za kutanua shughuli zake za biashara katika huduma za kifedha nchini. Uwekezaji uliofanywa na Selcom ,sasa unaifanya benki hiyo kuwa na mtaji wa zaidi ya Sh8.6 bilioni, huku ikibeba malengo ya kuwa miongoni mwa benki kubwa tatu ndani…