Yanga, Azam acha kipigwe fainali Shirikisho

MWISHO wa ubishi. Ndivyo unavyoweza kusema wakati Azam FC na Yanga zitakapovaana katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho. Mechi hiyo inatarajiwa kupigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja Zanzibar, ikiwa ni mara ya kwanza kwa pambano la michuano hiyo kupigwa huko. Timu hizo zinakutana katika fainali hiyo ya tisa…

Read More

Andaeni suti mapema fainali Azam, Yanga

Baada ya kushuhudia Yanga ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sasa macho ya wapenda soka yapo visiwani Zanzibar kwenye fainali za Kombe la Shirikisho. Yanga ilitinga fainali baada ya kuichapa Ihefu bao 1-0 likifungwa na kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI katika dakika ya 100 huku Azam ikiingia hatua hiyo baada ya kuitandika Coastal Union…

Read More

betPawa yafanya hamshahamsha ya mashabiki wa Mwanza kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya, Yamwaga jezi kwa timu mbalimbali

 Na Mwandishi wetu Mwanza. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa imezawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na hamsha hamsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi, Juni 1, 2024. Tukio hilo…

Read More

Kodi mafuta ya kula ya nje kupanda 2024/25

Singida. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Serikali inatarajia kuongeza kodi kwenye mafuta ya kula yanayotoka nje ya nchi katika bajeti ya mwaka 2024/25, ili kuwalinda wakulima wa alizeti. Pia, inakwenda kujenga soko kubwa na la kisasa la vitunguu mkoani Singida, na ujenzi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji mkoani humo wenye thamani ya zaidi ya…

Read More

MAELFU YA WANANCHI WAFURIKA KUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE KOKA

NA VICTOR MASANGU,KILIMANJARO Maelfu ya  wananchi,viongozi, wa serikali,wakiwemo mawaziri  wakuu wa Wilaya wakuu wa Mikoa,Wabunge  viongozi wa  dini,madiwani na viongozi wa mashirika wamejitokeza kwa kwa ajili ya kumzika aliyekuwa Baba mzazi wa Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini mzee Francis Koka  katika nyumba yake ya milele. Mazishi hayo ambayo yamefanyika nyumbani kwa marehemu  katika eneo…

Read More