Mchungaji Gwajima agoma kuuliza swali la nyongeza akikataa jibu la waziri
Dodoma. Mbunge wa Kawe, Mchungaji Joseph Gwajima amekataa kuuliza swali la nyongeza bungeni akisema swali lake la msingi halikujibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira. Katika swali la msingi Gwajima amehoji kuna mpango gani wa dharura wa kudhibiti mito inayopanuka na kuhatarisha maisha na mali za wananchi katika Jimbo la Kawe. Akijibu…