CARIBBEAN NAPLES ZOO YATOA MAGARI MAWILI KUSAIDIA SHUGHULI ZA UHIFADHI NGORONGORO
Ngorongoro Kreta, Arusha.TAASISI ya Caribbean Naples Zoo kutoka Nchini Marekani imetoa msaada wa gari mbili kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kusaidia shughuli za uhifadhi wa faru na Wanyama wengine katika hifadhi hiyo. Mkurugenzi wa Caribbean Naples Zoo Bw. Tim Tetzlaff amesema taasisi yao ni wadau wa shughuli za uhifadhi ambapo baada…