Jimbo la Kivu Kusini lahitaji dola Mil. 56 kujijenga upya – DW – 31.05.2024
Tathmini hii imetangazwa kufuatia ziara ya Ujumbe wa Wafadhili wa Kongo unaoongozwa na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Kongo, Bruno Lemarqui katika jimbo hilo ili kutathmini hali ya mambo na kuhakikisha maendeleo na utulivu pale MONUSCO itakapoondoka. Ujumbe huu unaundwa na washirika yapata ishirini wa kiufundi na kifedha wa Kongo wakiwemo wakuu wa ushirikiano…