Buku 5 tu kunawaona Aziz KI, Fei Toto
MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar wana kiu ya kuona udambwidambwi wa Stephane Aziz KI, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi wa Yanga pamoja na mziki mnene wa vijana wa Azam FC wanaoongozwa na Feisal Salum, Kipre Junior, Abdul Suleiman na Gjibiril Sillah. Katika kuhakikisha wanapata burudani ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kati ya Yanga…