RIPOTI MAALUMU: Hali ya viwanja kabla na baada ya AFCON -3
VIWANJA ni miongoni mwa mahitaji makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) katika kutoa haki za uenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon). Tanzania itaandaa fainali hizo mwaka 2027 kwa kushirikiana na Kenya na Uganda kupitia mpango uliopewa jina la ‘Pamoja Bid’ na hili hilo lifanikiwe ni lazima kuwepo na viwanja vinavyokidhi vigezo na…