Benki ya NBC Yazindua Rasmi Msimu wa Tano wa Mbio za NBC Dodoma Marathon.
Benki ya NBC imezindua rasmi msimu wa tano wa mbio zake zinazofahamika kama NBC Dodoma Marathon msimu wa nne zinazotarajiwa kufanyika Julai 28 mwaka huu jijijni Dodoma. Lengo kuu la mbio hizo ni kukusanya fedha ili kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na kutoa ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wanaosomea taaluma ya…