JUMUIYA YA SHIA WAMPONGEZA RAIS DK.MWINYI KWA MAENDELEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza kwa kazi nzuri anazozifanya kuwaletea maendeleo makubwa wananchi wa Zanzibar. Rais Dk.Mwinyi ametoa shukrani hizo alipokutana na Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemedi Jalala na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe:…