Wahouthi kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina – DW – 30.05.2024
Kiongozi wa waasi wa Kihouthi kutoka Yemen ambao wanafadhiliwa na Iran Abdulmalik al-Houthi amesema hii leo kuwa wataendelea kwa kasi na ufanisi mkubwa harakati zao za kijeshi katika dhamira ya kuwaunga mkono Wapalestina katika vita vyao na Israel huko Gaza. Tangu mwezi Novemba, kundi hilo limekuwa likishambulia meli zenye mafungamano na Israel katika Bahari ya Shamu…