Adaiwa kumuua mwanaye bila kukusudia
Geita. Mkazi wa Kijiji cha Chigunga wilayani Geita, Stefano Mlenda(31) amefikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Geita akishtakiwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia mtoto Fredrick Stephano (7) baada ya kuiba Sh700 na kwenda kununua soda. Kesi hiyo namba 12387 ya mwaka 2024 ilikuja mahakamani hapo kwa ajili ya mshtakiwa kusomewa maelezo ya awali. Akisoma…