NELSON MANDELA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU,UJUZI NA UBUNIFU TANGA.
Mbunifu kutoka Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Aziza Konyo ( kulia) akifafanua jambo kwa Wananchi waliotembelea banda hilo katika viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal Tanga. …….. Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imeudhihirishia umma kuwa, taaluma kwa jamii na viwanda ni nguzo muhimu katika…