Sonia Bompastor kukabidhiwa mikoba ya Emma Hayes huko Chelsea.
Sonia Bompastor anatamani kuendeleza kazi nzuri ya aliyekuwa kocha mkuu wa Chelsea Women Emma Hayes baada ya kutangazwa kuwa mrithi wake. Bompastor, ambaye hapo awali aliiongoza Lyon kwa tuzo nyingi, ikiwa ni pamoja na mataji matatu mfululizo ya ligi na Ligi ya Mabingwa mara mbili, analenga kuendeleza urithi ulioachwa na Hayes Chelsea. Alitoa shukrani zake…