Simba mpya Mgaboni, Matampi | Mwanaspoti
KAZI imeanza Simba. Na inaanzia langoni. Simba imeanza mchakato wa kusuka upya kikosi chake na tayari mezani ina majina mawili ya makipa wa kigeni ambapo watachagua mmoja. Wamefikia uamuzi huo kwani wanaona kuna kila dalili ya kumpoteza kipa wao namba moja wa sasa, Mmorocco Ayoub Lakred licha ya kwamba inadaiwa mpenzi wake ameanza kupaelewa Bongo….