SAMIA KUPITIA NCHIMBI AKAMILISHA AHADI MANYONI

  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama wilaya ya Manyoni zaidi ya shilingi millioni 18 kwa ajili ya kuezeka jengo lake la kitega uchumi. Katibu Mkuu wa CCM alitangaza hayo mbele ya Kamati ya Siasa ya Wilaya,…

Read More

Inter Milan wako tayari kutoa ofa kwa Beki wa Man United..

Inter Milan iko tayari kupeleka ofa kwa Manchester United kwa ajili ya kumnunua beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka. Kulingana na chombo cha habari cha Italia TuttoMercatoWeb, Inter iko tayari kulipa takriban euro milioni 12 kwa ajili ya beki huyo mwenye umri wa miaka 26. COPENHAGEN, DENMARK – NOVEMBER 8: Aaron Wan-Bissaka of Manchester United looks…

Read More

Mhasibu Karatu matatani akidaiwa kutengeneza mfumo bandia wa EFD

Karatu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia mhasibu mmoja wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu akidaiwa kutengeneza risiti bandia za kielektroniki (EFD) na kuzitumia kukusanya mapato kwa wafanyabiashara wa samaki katika eneo la Mang’ola. Mbali na mhasibu huyo pia jeshi hilo linamtafuta mtumishi mwingine wa halmashauri hiyo kwa tuhuma hizo. Kutokana na sababu hiyo,…

Read More

Moto wa kuipa Azam ubingwa 2024/25

Msimu wa Ligi Kuu Bara 2023/24, umekamilika hapo kesho jana kwa timu zote 16 kushuka kwenye madimba nane tofauti katika muda mmoja wa saa kumi alasiri. Tayari bingwa Yanga alishapatikana mapema, na jana ligi ikamalizia kwa msisimko mkubwa sana kwa mbio za kuwania nafasi ya pili iliyotwaliwa na Azam FC na kuiacha Simba ikishika nafasi…

Read More

Arsenal kumsaka Alexander Isak. – Millard Ayo

Arsenal wanaripotiwa kupanga mazungumzo juu ya uwezekano wa kumnunua mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak. The Gunners wanadaiwa kutaka kupata huduma za fowadi huyo mwenye kipaji, ambaye kwa sasa anachezea Real Sociedad katika La Liga. Ripoti za hivi punde zinaonyesha kuwa mkutano na Isak “umethibitisha” uamuzi wa Arsenal kufuata uhamisho huo. Alexander Isak: Wasifu wa Mchezaji…

Read More

SEKTA YA UJENZI YACHANGIA ASILIMIA 14 PATO LA TAIFA

Sekta ya Ujenzi imekuwa ikikua kwa wastani wa asilimia 12 kwa mwaka kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni Jijini Dodoma Amesema wastani wa mchango wa Sekta katika Pato la Taifa katika kipindi cha miaka 10…

Read More