Mgunda awahi kumalizana na Indonesia
Mgunda awahi kumalizana na Indonesia KAIMU Kocha Mkuu wa Simba na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Juma Mgunda anatarajia kuuwahi mchezo wao wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Indonesia unaotarajiwa kuchezwa Juni mbili mwaka huu. Mgunda ameondoka nchini leo akiongozana na wachezaji watatu kwenda kuungana na timu ya Taifa ambayo ipo…