Uchaguzi Afrika Kusini:Upinzani waiweka ANC kitanzini tena
Leo unafanyika uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini, huku ikitabiriwa kuwa chama tawala cha African National Congress (ANC), kinaweza kupata chini ya asilimia 50 ya kura kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 30 ya utawala wa watu weusi. Upinzani dhidi ya chama kilichoongoza vita dhidi ya ubaguzi wa rangi chini ya hayati Nelson Mandela,…