Wakabidhiwa bweni la wanafunzi 240 wa kike
Dar es Salaam. Takriaban wanafunzi 240 wanawake katika Shule ya Sekondari Namanga, wameepukana na safari ya kutoka nyumbani kwenda shule, badala yake wataanza kuishi bweni. Hatua hiyo ni baada ya shule hiyo kukabidhiwa jengo la bweni litakalolaza wanafunzi 240, kutoka kwa Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Huduma za Kisheria (LSF). Akizungumza katika hafla ya kukabidhi…