Uhispania, Ireland na Norway zaitambua rasmi Palestina – DW – 28.05.2024
Baada ya serikali ya Ireland kuidhinisha rasmi hatua hiyo, Waziri Mkuu Simon Harris alisema lengo ni kuweka hai matumaini ya amani ya Mashariki ya Kati. Harris alisema walitaka kuitambua Palestina mwishoni mwa mchakato wa amani, lakini wamechukua hatua hiyo pamoja na Uhispania na Norway ili kuweka hai muujiza wa amani, huku akiitolewa wito Israel kukomesha…