MABADILIKO YA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU NI SEHEMU MUHIMU YA UTAWALA BORA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema Serikali inatambua kuwa, mabadiliko ya Sheria, Kanuni na Taratibu ni sehemu muhimu ya utawala bora na maendeleo endelevu ya jamii. Dkt.Dugange amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha maswali na majibu wakati…