Kisa Yanga… Kinzumbi aliamsha na Katumbi
WAKATI msafara wa maofisa wa Yanga ukijipanga kurudi tena kwa klabu ya TP Mazembe kuendeleza ushirikiano wao, ndani ya klabu hiyo bingwa wa DR Congo winga wao ameliamsha rasmi. Yule winga Philippe Kinzumbi ameliamsha rasmi akiwaambia mabosi wa klabu yake kiu yake kubwa ni kutaka kuja kucheza Tanzania bila kutajwa timu, lakini Mwanaspoti linajua akili…