NACTVET YAFUNGUA DIRISHA LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2024
*Yataka waombaji kuweka taarifa sahihi kuepusha usumbufu Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Tanga , Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) imefungua dirisha la Udahili kwa Wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa ngazi ya Astashada na Stashahada katika kozi zote zinazosimamiwa na Baraza hilo. Akizungumza na Waandishi wa Habari…