Allaince One yatokomeza uhaba wa maji Urambo
Na Mwandishi Wetu,Urambo Wakazi zaidi ya 6000 wa Kitongoji cha Kitega Uchumi wilaya ya Urambo mkoani Tabora wameondokana na changamoto ya maji baada ya Kampuni ya Tumbaku ya Alliance one kuwajengea kisima cha maji safi na salama katika kitongoji chao. Kisima hicho kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 34 kitahudumia Kaya 671 za eneo la…