FCC, TRADEMARK AFRICA ZASAINI MKATABA WA BIL.1.5
Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio, (wa pili kulia), na Mkurugenzi wa Trademark Africa, Elibariki Shammy, (kushoto) wakisaini mkataba wa mashirikiano kati ya Taasisi hizo Mei 27,2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio, (kulia), na Mkurugenzi wa Trademark Africa, Elibariki Shammy, (kushoto) wakionesha hati za mikataba baada ya kusaini Jijini Dar…