FIFA na UEFA zilitumia vibaya nafasi zao – DW – 27.05.2024
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, na Shirikisho la Kandanda barani Ulaya, UEFA “walitumia vibaya nafasi zao kuu” na “kuzuia ushindani” kwa kukataa kuundwa kwa Ligi mpya ya Ulaya “Super League”. Hayo yameelezwa katika uamuzi uliotolewa na mahakama moja ya nchini Uhispania leo Jumatatu. Mahakama hiyo imesema kwamba FIFA na UEFA wameweka “vizuizi visivyo na sababu…