Biashara United wanaitaka timu yoyote Ligi Kuu
‘AJE yeyote’. Ni kauli na tambo za Biashara United ikieleza kuwa tayari kukabiliana na mpinzani yeyote wa Ligi Kuu katika mchezo wa mchujo (play off) kutafuta kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao. Biashara United ina uwezekano wa kukutana kati ya Kagera Sugar na Tabora United ambazo zipo nafasi ya 13 na 14 kwenye msimamo wa…