Wazanzibar watarajia makubwa kutoka NMB Pesa Akaunti
Wateja wapya wa Benki ya NMB wa Zanzibar wanatarajia neema kubwa kimaisha baada ya kujumuishwa katika mfumo rasmi wa fedha na taasisi hiyo kupitia kampeni yake ya “NMB Pesa Haachwi Mtu”. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Matumaini hayo kwanza yanatokana na kuweza kufungua akaunti ya NMB Pesa kidijitali kigezo kikubwa kikiwa ni ada ya Sh1000 tu na…