POLISI WAENDELEA KUDHIBITI MADEREVA KIDIJITALI, WATATU WAKAMATWA.
Na.Mwandishi, Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo huo mei 27 muda wa alfajiri limewabaini madereva watatu ambao wamevunja sheria za usalama Barabarani. Akitoa taarifa hiyo Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa…