Traore kuongeza miaka mitano madarakani
Burkina Faso. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traoré, imetangaza kuwa itaongeza muda wa utawala wa kijeshi kwa miaka mingine mitano. Traore ataruhusiwa kugombea katika uchaguzi ujao wa urais, kulingana na shirika la utangazaji linalomilikiwa na Serikali. Alipoingia madarakani kwa mapinduzi mwaka 2022, Kapteni Traoré aliahidi kurejesha Serikali ya kiraia kufikia…