Macron aupongeza ushirikiano wa Ufaransa na Ujerumani – DW – 27.05.2024
Ziara ya kiserikali ya Macron nchini Ujerumani, ya kwanza kufanywa na rais wa Ufaransa katika miaka 24, inajiri wakati madola hayo mawili makubwa Ulaya yanakabiliwa na matatizo mbalimbali, kuanzia vita vinavyorindima kwenye mlango wa Umoja wa Ulaya nchini Ukraine mpaka kuongezeka kwa vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia katika umoja huo na uwezekano…