Maaskofu washusha kilio cha barabara, madaraja kwa Waziri Mkuu
Mbeya. Viongozi wa dini mkoani Mbeya wamempokea Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa vilio vya wananchi kuhusu barabara za lami na madaraja wakieleza kuwa kwa sasa wanasubiri kibali cha Serikali kumaliza changamoto hizo. Viongozi hao wa dini wamebainisha hayo leo Mei 26, 2024 wakati wa misa ya kumsimika Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya,…