MHANDISI JUMBE APELEKA SHANGWE ZA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2025 KWA MAKUNDI MAALUM SHINYANGA

Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Katika kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025, Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe, ameongeza furaha kwa makundi maalum katika Manispaa ya Shinyanga kwa…

Read More

Jamii yaaswa kusaidia watoto yatima

Dar es Salaam. Wito umetolewa kwa jamii kuwasadia watu wenye mahitaji maalumu ili nao washerehekee mwaka mpya kwa furaha. Hayo yamelezwa leo Desemba 31, 2024 na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wajomba Family, Salum Ally wakati wa utoaji wa misaada kwa watoto yatima Wilaya ya Kigamboni.    Msaada huo umehusisha unga wa ngano, unga wa mahindi, mafuta…

Read More

Benjamin Mkapa kuwekeza katika upasuaji wa Robot

Dodoma. Wakati zimebaki saa chache kumalizika kwa mwaka 2024, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza mipango yake ya kuwekeza katika teknolojia ya upasuaji wa kutumia roboti (Robotic Surgery) ili kurahisisha kazi kwa wataalamu na kuboresha huduma za afya. Akizungumza leo, Jumatano Desemba 31, 2024, jijini Dodoma, Mkurugenzi Mtendaji wa BMH, Profesa Abel Makubi amesema hospitali…

Read More

Wananchi Mkuranga wataka ufanisi barabara za ndani

Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa Mkuranga mkoani Pwani wametaka kuongezwa kasi ya kuboresha ujenzi wa barabara ndani za jimbo upatikanaji wa huduma za afya, umeme, kilimo na elimu ndani ya mwaka 2024. Hata hivyo, Mbunge wa Mkuranga na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewatoa wasiwasi kuhusu ujenzi wa barabara hizo, akisema ni miongoni…

Read More

Rais Samia atekeleza ahadi kwa wakulima wa nazi

Mtama. Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara. Katika miche hiyo, Lindi pekee imepokea miche 60,000. Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo kwa maofisa kilimo kutoka wilaya sita za Mkoa wa Lindi leo Jumanne Desemba 31, 2024, Meneja wa Kituo cha Utafiti…

Read More

‘Jamii iwakumbue watoto waioshio mazingira magumu’

iDar es Salaam. Wakati msimu wa wanafunzi kurudi shuleni ukikaribia, jamii imeaswa kuwakumbuka watoto wanaoshi katika mazingira magumu ili wapate vifaa vya shule kama wanavyopata watoto wengine. Hayo yameelezwa na mfanyabiashara Celine Richard baada ya kuwakabidhi vifaa vya shule watoto hao, waishio katika mazingira magumu leo Manzese Dar es Salaam leo Desemba 31, 2024. Celine…

Read More

Upelelezi kesi ya Kabaisa, wenzake bado

 Dar es Salaam. Serikali imeeleza kuwa upelelezi wa kesi ya kusafirisha kilo 332 za heroini na methamphetamine inayomkabili mvuvi Ally Ally (28) maarufu kama Kabaisa na wenzake wanane, bado unaendelea. Wakili wa Serikali Roida Mwakamele ameeleza hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Desemba 31, 2024, wakati kesi hiyo ilipotajwa. Mwakamele ametoa maelezo hayo,…

Read More

Bilioni 3 zatinga mfukoni madawa

  MFUKO wa Serikali ya Zanzibar umenufaika kwa kupata kiasi cha Sh. 3 bilioni zikiwa ni thamani ya mali mbalimbali zilizotaifishwa kwa kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Kamishna wa Mamlaka ya Kupambana na Madawa ya Kuelvya Zanzibar, Kanali Burhan Zubeir Nassor anasema mali zilizotaifishwa ni pamoja na…

Read More