Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Year: 2024

  • Home
  • 2024
  • Page 20
Michezo

Fei Toto aanika silaha hadharani, Aucho atoa neno

December 29, 2024 Admin

KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho amefunguka akikiri kuwa mziki wa Azam ndio unaowanyima raha kwa namna wanavyokutana na upinzani mkubwa, huku nyota wa zamani wa

Read More
Habari

Abiria 179 wafariki dunia ajali ya ndege Korea Kusini, wawili pekee wanusurika

December 29, 2024 Admin

Mamlaka za Korea Kusini zimedai kwamba watu 179 wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya Shirika la Jeju iliyokuwa imebeba jumla ya abiria na wahudumu

Read More
Michezo

Maxi, Musonda wakoleza mzuka Yanga

December 29, 2024 Admin

WAKATI kipa Diarra Djigui, Clatous Chama na Yao Kouassi wakiwekwa chini ya uangalizi maalumu wa kitabibu, nyota wawili wa Yanga, Maxi Nzengeli na Kennedy Musonda

Read More
Habari

Wazazi tusherehekee ila tusijisahau kuna mahitaji ya shule

December 29, 2024 Admin

Kila mwaka, msimu wa sikukuu huja na shamrashamra nyingi, zawadi, sherehe na hamasa ya kusherehekea kwa familia. Hata hivyo, msimu huu pia huja na changamoto

Read More
Habari

M-Bet, HaloPesa waanza kumwaga zawadi za washindi wa kampeni ya amsha amsha

December 29, 2024 Admin

Na Mwandishi wetu Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Halotel kupitia HaloPesa zimezawadia washindi

Read More
Habari

ONGEA NA ANTI BETTI: Mchungaji anaamua nini kifanyike nyumbani kwangu

December 29, 2024 Admin

Sielewi kama huyu mke ni wangu au wa mchungaji. Naomba niweke sawa, ninaamini katika dini na sikosi kanisani kwa ajili ya ibada na maombi mengine.

Read More
Habari

Ajali ya ndege yaua 85 Korea Kusini

December 29, 2024 Admin

Korea Kusini. Zaidi ya watu 85 wanahofiwa kufariki katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Jeju iliyotokea uwanja wa ndege wa Jiji la Muan nchini

Read More
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 29, 2024

December 29, 2024 Admin

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Read More
Kimataifa

Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen asimulia matokeo ya shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege wa kiraia – Global Issues

December 29, 2024 Admin

Tarehe 26 Disemba, vikosi vya Israel vilishambulia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a, bandari za Bahari Nyekundu na vituo vya umeme. Tedros alikuwa kwenye

Read More
Habari

Waha na chimbuko  Kijiji cha Makumbusho Dar

December 29, 2024 Admin

Kijiji cha Makumbusho kimekuwa moja ya vivutio vya utalii wa ndani jijini Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Kijiji hicho chenye ukubwa wa ekari

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 19 20 21 … 2,317 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.