MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA COMORO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 26 Mei 2024 amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Sherehe za Uapisho wa Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Malouzini uliopo Moroni nchini Comoro. Katika hafla hiyo Makamu…