Balozi wa Marekani Tanzania alivyozindua kampeni dhidi ya Ukimwi
Dar es Salaam. Ili kudhibiti kuenea kwa Ukimwi Tanzania wadau wa maendeleo na ustawi wa jamii, wamezindua kampeni ya kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia jitihada za Serikali katika kupambana na ugonjwa huo. Hatua hiyo inakuja wakati Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi (THIS) ya mwaka 2022/2023, unaonyesha Tanzania ina watu milioni 1.5 wanaoishi…