KASEKENYA AIPA TANROADS WIKI MOJA MALINYI KUFIKIKA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ametoa wiki moja kwa Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Morogoro kuhakikisha anarudisha Mawasiliano ya barabara kati ya wilaya ya Ifakara na Malinyi katika kijiji cha Misegese, mkoani humo ili kuruhusu magari kupita mara baada ya daraja la Mto Fulua kuharibika kutokana na mafuriko. Kasekenya…