MAMIA YA WASHIRIKI KATIKA MBIO ZA RUN FOR BINTI
Mei 25, 2024, Dar es Salaam: Washiriki zaidi ya 700 walishiriki katika mbio za Run for Binti zilizofanyika katika Viwanja vya Oysterbay, ikiwa ni msimu wa tatu wa mafanikio wa mbio hizi zinazoratibiwa na kuandaliwa na Smile for Community (S4C) kwa kushirikiana na Legal Services Facility (LSF). Lengo kuu la mbio hizi ni kuwawezesha watoto…