El Nino haihusiki na mafuriko Afrika Mashariki – DW – 25.05.2024
Mvua kubwa zilizonyesha nchini Kenya, Tanzania na mataifa jirani zilisababisha vifo vya zaidi ya watu 500, na kuwalaazimu mamia ya maelfu kuyahama makazi yao huku mafuriko yakisomba nyumba na kuvunja barabara wakati wa msimu wa masika kuanzia mwezi Machi hadi Mei. Kanda hiyo pia ilikumbwa na mafuriko mwishoni mwa mwaka jana, huku watafiti wakisema kuwa…