Tanzania, Estonia kubadilishana uzoefu matumizi akili bandia (AI)
Serikali ya Tanzania inatarajia kunufaika kupitia ushirikiano na nchi ya Estonia katika masuala ya Tehama na Usalama Mtandao ikiwemo kubadilishana uzoefu kwenye masuala ya akili bandia (Al), teknolojia ya mifumo kuzungumza, usalama wa mitandao (cybersecurity), namba ya utambulisho ya kidijitali, ubalozi wa data, uhuru wa data, ukuaji wa biashara changa na uchumi wa kidijitali. Kufuatia mazungumzo…