Kanda ya Victoria kufungua pazia la uchaguzi Chadema leo
Dar es Salaam. Wajumbe wa mkutano mkuu wa kanda nne za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wana kibarua kigumu cha kuamua kina nani wawe viongozi wa kanda hizo katika uchaguzi unaoanza leo. Kanda ya Victoria yenye mikoa ya Mwanza, Kagera na Geita inafungua pazia la uchaguzi leo. Kanda zingine ni Serengeti yenye mikoa (Mara,…