Dkt.Jingu awafunda wasimamizi wa miradi wizara ya afya
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewapa somo Wasimamizi wa Miradi Wizara ya Afya juu ya umuhimu wa kuhakikisha Miradi ya Maendeleo inaimarisha Maisha na uasalama wa Wananchi kwa kukidhi mahitaji kijamii, na kuleta matokeo chanya yenye manufaa na tija kwa jamii na sio kuiangamiza. Dkt. John Jingu, amesema hayo Mei 23,…