Vipaumbele wizara ya elimu Zanzibar kwa mwaka wa fedha 20224-25
Mapendekezo ya ripoti ya mageuzi ya sekta ya Elimu,Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar inaendelea 1 .Kuimarisha uongozi na usimamizi wa elimu katika ngazi zote za elimu zikiwemo Skuli, Wilaya, Mkoa na Wizara. 2 . Kuimarisha mfumo wa tathmini ya maendeleo ya elimu ya wanafunzi katika ngazi zote za elimu na kupandishaufaulu wao…