Maudhui ya elimu ya uraia, uzalendo yaingizwa mitalaa mipya
Dodoma. Serikali imeingiza maudhui ya elimu ya uraia na uzalendo katika mitaala mipya ya mwaka 2023, kupitia somo jipya la Historia ya Tanzania na Maadili. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omar Kipangaa ameyasema hayo leo Mei 24, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Najma Giga. Najma amehoji ni kwa nini…