NAMANGA SEC. YAFAIDIKA NA JENGO JIPYA LA BWENI CHINI YA UDHAMINI WA LSF KUPITIA SERIKALI YA LUXEMBURG
Namanga, Tanzania – Mei 23, 2024: Shule ya Sekondari ya Namanga leo imezindua kwa fahari jengo lake jipya la bweni, chini ya ufadhili wa Legal Services Facility (LSF) na North-South Cooperation kutoka Luxemburg. Msaada huu unalenga kuboresha miundombinu ya shule, kuwawezesha wanafunzi, hasa wasichana, kupata haki yao ya kupata elimu bora na kuwapa mazingira salama…