Ujerumani yaadhimisha miaka 75 ya katiba – DW – 23.05.2024
Sheria hiyo ya msingi ilianza kutumika tarehe 23 mwezi Mei mwaka 1949, ambayo pia ni tarehe ya kuanzishwa kwa shirikisho la Ujerumani miaka 35 iliyopita. Rais Frank Walter Steinmeier amesema zawadi hiyo kuu kwa Ujerumani haipaswi tu kukumbukwa, inatakiwa kuenziwa, kutunzwa na kulindwa kila siku nchini Ujerumani. Amesema katiba hiyo imeunda mfumo thabiti unaoleta muingiliano…