PROF. JANABI: MNH-MLOGANZILA KUTENGA ENEO MAALUM KWA AJILI YA KUSHUKIA HELIKOPTA
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na kufanya mazungumzo na wataalam kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kwa lengo la kujadiliana na kuangalia eneo maalum litakalofaa kwa ajili ya kushuka helikopta zitakazo leta wagonjwa watakaokuja kutibiwa hospitalini hapo. Kwa mujibu wa Prof. Janabi Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila…